FCC YAANDAA SIKU YA MLAJI ITAKAYOFANYIKA MACHI 15
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Tume ya Ushindani Nchini (FCC) imezindua wiki ya Kitaifa ya siku ya kumlinda Mlaji Duniani ambayo hufanyika kila mwaka Marchi 15 ambapo katika wiki hiyo watajikita kutoa Elimu kwa Wananchi ili kuwa na uelewa kuhusu Haki za Mlaji na hivyo kushiriki kikamilifu katika kuchangia Maendeleo ya Taifa. Mkurugenzi Mkuu wa Tume […]