KITAIFA
February 19, 2025
60 views 3 mins 0

MHE. BITEKO AMPONGEZA MWANAFUNZI ALIYEELEZEA MIRADI YA UMEME

Amuahidi kutembelea mradi wa Julius Nyerere          Na Josephine Maxime- Dar es Salaam              Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mheshimiwa Dkt. Doto Biteko ameagiza Mwanafunzi Mirabelle Msukari na Wenzake wa Shule ya Msingi Sun Rise iliyopo Wilayani Kinondoni jijini Dar es Salaam kupelekwa katika Mradi wa kufua Umeme wa Julius Nyerere (JNHPP) ili kujifunza zaidi […]

BIASHARA
February 05, 2025
99 views 25 secs 0

EWURA YATANGAZA BEI KIKOMO ZA BIDHAA ZA MAFUTA YA PETROLI

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA TAARIFA:  EWURA inatangaza Bei Kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli zitakazotumika hapa nchini kuanzia Jumatano ya tarehe  5 Februari, 2025, saa 6:01 usiku. Wafanyabiashara wa rejareja na jumla  wanatakiwa kuuza mafuta kwa bei zilizoidhinishwa na EWURA pekee na yeyote atakayekiuka AGIZO hili atachukuliwa hatua kali kwa mujibu  wa sheria.

KITAIFA
October 16, 2024
158 views 40 secs 0

SERIKALI IMEANZA KUWEKA MIKAKATI MBALIMBALI YA UTOAJI WA ELIMU KWA WANANCHI KWA MATUMIZI YA NISHATI SAFI

Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Doto Biteko amesema  ifikapo Disemba mwaka 2024, Serikali inatarajia kutoa mitungi  Gesi zaidi ya Laki Nne ambayo itakayowezesha kuwanufaisha Watanzania kwa ajili ya matumizi ya Nishati Safi ya Kufikia. Biteko ametoa kauli hiyo Jijini Dar es Salaam, alipokuwa akizindua Soko la […]

BIASHARA
September 18, 2024
338 views 2 mins 0

RAS TABORA:MKOA WA TABORA TUMEPIGA VITA MAFUNDI UMEME VISHOKA

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Katibu Tawala wa Mkoa wa Tabora, Dkt John Mboya, akifungua semina ya siku moja kwa mafundi umeme wa mkoa huo, kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Tabora,Paul Matiko Chacha, leo 17 Septemba 2024,amewasihi  mafundi umeme wote mkoani humo kuhakikisha wanakuwa na leseni za ufungaji mifumo ya umeme zinazotolewa na Mamlaka […]

KITAIFA
July 27, 2024
327 views 5 mins 0

DKT BITEKO SEKTA YA NISHATI MANENO KIDOGO VITENDO ZAIDI

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Ashiriki Bonanza la Nishati Dodoma* Ataka Watumishi kupendana na kushirikiana* Atunukiwa Nishani ya Uasisi Bonanza la Nishati* EWURA yaibuka mshindi wa Jumla; Mkurugenzi Mkuu amshukuru Dkt.Biteko kuthamini Watumishi* Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe, Dkt. Doto Biteko amewakumbusha Watumishi wa Wizara ya Nishati na Taasisi zake kuiishi  Kauli Mbiu […]