EWURA YASHINDA TENA TUZO YA UHUSIANO MWEMA NA VYOMBO VYA HABARI
Kwa mara ya pili mfululizo, Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imeshinda tena tuzo ya Uhusiano Mwema na Vyombo vya habari, ikionesha namna taasisi hiyo inavyothamini uhuru wa vyombo vya habari katika kuuhabarisha umma kuhusu shughuli zake. Tuzo hiyo ilitolewa jana(29.3.2024) na Chama cha Maofisa Uhusiano Tanzania (PRST), baada ya mchuano […]