TANZANIA YAWA NCHI YA PILI KWA ONGEZEKO LA WATALII NCHINI
Tanzania yatajwa ni nchi ya pili Afrika Kwa kuwa na ongezeko kubwa la watalii Katika robo ya kwanza ya mwaka 2023 na Nchi ya kwanza inayofatia ni Ethiopia na ya tatu ni Morocco Pia Tanzania ni nchi ya pili kuingia ushiriki wa mkutano wa shirika la UN la utalii Kanda ya Afrika (UNWTO-CAF) Katika ushirikiano […]