MAKAMU WA RAIS DR MPANGO ASHIRIKIANA NA VIONGOZI WA DINI NCHINI KATIKA DUA YA KULIOMBEA TAIFA JIJINI DODOMA
Na Madina Mohammed DODOMA MAKAMO wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr Philip Mpango amewasisitiza Wananchi na Viongozi mbalimbali waendelee kudumisha amni iliopo katika Taifa la Tanzania ili Muungano uliopo uweze kudumu na kuyaishi maono ya Waasisi katika kudumisha amani na Mshkamano hapa Nchini. Makamo wa Rais Dr Mpango ameyasema hayo katika Siku […]