DSE NA FINTECH WASAINI MAKUBALIANO YA KUKUZA MATUMIZI YA SULUHISHO ZA KITEKNOLIJIA NA USHIRIKIANO WA MASOKO
Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Soko la Hisa Dar es salaam DSE limesiani Makubaliano (MOU) na jumiya ya Fintech society Tanzania yenye lenga la kukuza matumizi ya suluhisho za kiteknolojia katika ushirikinw masoko ya mitaji na kuwawezesha watanzania kupata elimu ya Fedha. Akizungumza na waandishi wa Habari leo Aprili 17 wakati wakusaini Makubaliano […]