KITAIFA
January 10, 2024
403 views 7 mins 0

DKT BITEKO ASHUHUDIA UTIAJI SAINI MIKATABA MIWILI YA KIHISTORIA YA GESI ASILIA

📌 *Ni wa mauziano ya Gesi Asilia na ujenzi wa miundombinu midogo ya LNG* 📌 *Kuwezesha upatikanaji wa Gesi Asilia katika maeneo yote nchini* 📌 *Asema Rais, Dkt. Samia anafuatilia kwa karibu miradi ya Nishati* 📌 *Nchi kuwa na nishati kutoka vyanzo mchanganyiko (Energy mix)* Na Madina Mohammed ZANZIBAR Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa […]

KITAIFA
December 31, 2023
291 views 3 mins 0

DKT DENNIS MUCHUNGUZI: MHE DKT BITEKO ANATOSHA ATAMALIZA SHIDA YA UMEME

Kwa kuelekea mwaka mwingine tumebakiwa na siku 1tu ambayo tunamaliza mwaka 2023 na kuingia mwaka mwingine 2024 ni kipekee tumshukuru mwenyezi mungu aweze kutufikisha salama Kwa mwaka 2023 Kuna mambo mengi ambayo yametokea hatuna budi kuyakumbuka na kujifunza na wapi tulipokosea Ili unapoingia mwaka mwingine tuwe tumejifunza na kuanza tena upya na tusifanye makosa Serikali […]