DKT BITEKO ATUNUKU VYETI KWA WAHITIMU 439 CHUO CHA MWEKA
Awataka kuchukia rushwa na kulinda Maliasili kwa Wivu Mkubwa* Apongeza Wizara ya Maliasili na Utalii kwa usimamizi wa Sekta Kilimanjaro Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko ametunuku vyeti vya ngazi mbalimbali kwa wahitimu 439 wa Chuo cha Usimamizi wa Wanyamapori cha Mweka, mkoani Kilimanjaro ambapo amewaasa kuwa chochote watakachofanya kuchukia […]