KUWENI BARAKA, SIO KITUNGUU KUWATOA MACHOZI WENGINE – DKT. BITEKO
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Amwakilisha Rais Samia hafla ya kutabaruku kanisa SDA- Magomeni* Ataka watu kutengenezeana furaha badala ya kuumizana* Ahimiza Mshikamano wa Taifa ili kuleta maendeleo* Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewataka Watanzania kujenga misingi ya kusaidiana kuheshimiana na kuvumiliana ili kufanikisha malengo wanayojiwekea kimaendeleo. Dkt. Biteko ametoa […]