KITAIFA
April 03, 2025
18 views 2 mins 0

DC SIMA AONGOZANA NA KAMATI YA USALAMA, AFISA TARAFA KATERERO, DIWANI, WATENDAJI KUSIKILIZA NA KUTATUA KERO KIJIJI CHA KATOJU.

_Mwenyekiti wa Kijiji na Kitongoji watuhumiwa kuuza ardhi ya Kijiji kinyemela zaidi ya heka 8, DC Sima atangaza kiama kwa wanaouza ardhi za Vijiji_ Mkuu wa Wilaya ya Bukoba mkoani Kagera Mhe. Erasto Sima Jana Jumatano Aprili 02, 2025 akiambatana na Wajumbe wa Kamati ya Usalama ya Wilaya wamefanya ziara ya aina yake Tarafa ya […]