KITAIFA
December 28, 2023
204 views 4 mins 0

UTEKELEZAJI MRADI WA UMEME WA JULIUS NYERERE JNHPP WAFIKIA ASILIMIA 94.78

*Mashine Mbili za Megawati 47O zimeshafungwa, majaribio yameanza* *Ujazo wa maji watosha kuanza kuzalisha umeme* *Dkt. Biteko asema kipaumbele ni upatikanaji wa umeme wa uhakika nchini* Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema kuwa, utekelezaji wa  mradi wa umeme wa Julius Nyerere (JNHPP) utakaozalisha megawati 2,115 kwa sasa umefikia asilimia […]