MTENDAJI MKUU TARURA AAGIZA USANIFU UPYA DARAJA LA BIBI TITI MOHAMMED-MOHORO
Na Mwandishi Wetu RUFIJI Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) Mhandisi Victor Seff ameagiza timu ya wataalamu wa TARURA Makao Makuu na ya Mkoa wa Pwani kufanya mapitio ya usanifu wa daraja la Bibi Titi Mohammed-Mohoro linalotarajiwa kujengwa wilayani hapa. Mhandisi Seff ameyasema hayo mara baada ya kufanya ukaguzi wa […]