KITAIFA
October 13, 2024
192 views 41 secs 0

SAMIA NA KITAA-SERIKALI ZA MITAA,SAUTI YA WANANCHI TUJITOKEZE KUSHIRIKI UCHAGUZI

Na Mwandishi Wetu Mkuu wa Wilaya ya ubungo Hassan bomboko ameendelea kuwahamasisha wananchi kujitokeza na kujiandikisha Katika Daftari la mkaazi Ili KUSHIRIKI uchaguzi na kumchagua viongozi wa serikali ya mtaa Amesema wamepita Maskani na Vijiwe vyote vya kata ya manzese kuhamasisha wananchi Kuitikia wito wa kujiandikisha “Ni wajibu wa kila Mwananchi wa Ubungo Kujitokeza na […]

KITAIFA
October 12, 2024
219 views 2 mins 0

RAIS SAMIA ATANGAZA MAPUMZIKO NOV27, AKIJIANDIKISHA DAFTARI LA MKAAZI KUPIGA KURA SERIKALI ZA MITAA

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA _Asema ni mapumziko ya kitaifa, ili wananchi washiriki kupiga kura kikamilifu_ . _Asisitiza kila mwenye sifa ana haki ya kuchagua na kuchaguliwa_ Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassanย  ameitangaza 27 Novemba mwaka huu, kuwa siku ya mapumziko ya […]

KITAIFA
October 12, 2024
213 views 4 mins 0

UANDIKISHAJI WAPIGA KURA S/MITAA WASHIKA KASI

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA -DAR/MIKOANI WAKATI zoezi la uandikishaji wapiga kura likianza kwa siku ya jana nchini hali ya mwitiko wa wananchi imekuwa nzuri huku katika baadhi ya maeneo machache wananchi wajitokeza kwa suasua. Hatua hiyo ni sehemu ya maandalizi ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji unaoatarajiwa kufanyika Novemba 27,ย  mwaka huu. […]

KITAIFA
July 20, 2024
237 views 4 mins 0

WAZIRI MKUU:WAPIGA KURA WAPYA ZAIDI YA MILIONI 5 KUANDIKISHWA

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA KIGOMA Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema kuwa kwa mujibu wa takwimu za Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022 jumla ya wapiga kura wapya 5,586,433 wataandikishwa katika Daftari la Kudumu la Wapiga Kura. Amesema kuwa wapiga kura hao ni ambao watakuwa wametimiza umri wa miaka 18 katika kipindi cha kuanzia […]