MAKONDA ATINGA CCM LUMUMBA KWA MBWEMBWE,AKIJA NA BODABODA
PAUL Makonda apokelwa kwa staili ya aina yake baada ya kutumia usafiri bodaboda wakati akienda Ofisi ndogo za Chama Cha Mapinduzi(CCM)zilizopo Mtaa wa Lumumba jijini Dar ea Salaam ambako yamefanyika mapokezi makubwa. Mapokezi ya Makonda yamefanyika leo jijini Dar es Salaam ikiwa ni siku chache tu Chama Cha Mapinduzi( CCM) kuteuliwa kuwa Katibu wa Itikadi […]