KAMATI YA BUNGE YAIPONGEZA SERIKALI UJENZI WA VITUO VIPYA VYA KUJAZIA GESI KWENYE MAGARI (CNG)
📌 *Kituo mama cha CNG katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kuhudumia magari 1,200 kwa siku* 📌 *Serikali yaendelea kuhamasisha Sekta binafsi ujenzi wa vituo vya CNG* Serikali kupitia Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) imepongezwa kwa ujenzi wa mradi wa Kituo mama cha gesi iliyoshindiliwa yaani Compressed Natural Gas (CNG) na Vituo […]