SERIKALI IPO TAYARI KUTUNGA SHERIA YA BODI YA UCHUKUZI
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wa masuala ya uchukuzi ipo katika hatua za kuandaa mapendekezo ya kutunga sheria ya Bodi ya Uchukuzi kwa lengo la kuwatambua na kuwasajili wana taaluma hao Kauli hiyo imetolewa leo Desemba 20,2024 na Naibu Waziri wa Uchukuzi David Kihenzile […]