CHUO CHA KODI IMEOMBWA KUFANYA MAFUNZO YA KODI NA FORODHA ILI KUONGEZA MAKUSANYO YA KODI KITAIFA
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Serikali kupitia Wizara ya Fedha imesemaย inatambua mchango wa chuo cha kodi kwenye kutoa mafunzo ya kodi na forodha hivyo kuongeza makusanyo ya kodi kwenye Taifa. Hayo ameyasemaย leoย jijini dar es salaam Naibuย Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Elijah Mwandumbya akimwakilisha Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba kwenye Mahafali ya kumi […]