MAMLAKA ZA USAFIRISHAJI MAJINI BARANI AFRIKA ZATAKIWA KUSHIRIKIANA KUBORESHA HUDUMA
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Dkt. Biteko afungua Kongamano na Mkutano Mkuu wa 7 wa AAMA* Awataka washiriki kubuni mbinu za kukabili changamoto zilizopo* IMO yaahidi kuendeleza ushirikiano kukabiliana na changamoto Bahraini* Dar es Salaam yampongeza Rais Samia kuboresha Bandari, kupunguza msongamano* Jumuiya ya Mamlaka za Usimamizi wa Usafiri majini Barani Afrika zimetakiwa kushirikiana na kuungana […]