JESHI LA POLISI LAVURUGA MIKUTANO YA CUF NA KUHATARISHA AMANI HANDENI
Chama Cha Wananchi-CUF kikiwa kinaendelea kufanya hadhara Katika ngazi za kata na wilaya Katika maeneo mbalimbali Ili kujiimarisha Katika chaguzi zijazo Kwa Takribani mwezi mmoja Sasa,Jeshi la polisi limeweza kujiingiza Katika siasa ya kukwamisha mikutano ya hadhara ya chama Cha wananchi CUF hususani kwenye ngome za CUF Hayo yamesemwa na mkurugenzi wa habari,Uenezi na Mawasiliano […]