KITAIFA
April 27, 2024
79 views 3 mins 0

SERIKALI ITAENDELEA KUSHIRIKIANA NA SHULE BINAFSI-DKT BITEKO

Azitaka Wizara za Elimu, Fedha, Uwekezaji, Ardhi na TAMISEMI kukutana na Wadau wa Elimu* Shule Binafsi zizingatie maadili ya Mtanzania na Miongozo Iliyowekwa* Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema kuwa Serikali itaendelea kushirikiana na sekta binafsi hususan shule binafsi ili kuboresha sekta ya elimu nchini. Akizungumza katika Mkutano Mkuu […]