KATIBU MKUU WA NLD MHE. DOYO HASSAN DOYO ASAINI KANUNI YA MAADILI YA UCHAGUZI MKUU 2025
Dodoma, 12 Aprili 2025, Katika hatua muhimu kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, Katibu Mkuu wa Chama cha National Liberation for Democracy (NLD), Mhe. Doyo Hassan Doyo, leo amesaini Kanuni ya Maadili ya Uchaguzi katika hafla rasmi iliyofanyika jijini Dodoma. Tukio hilo limehusisha viongozi wa vyama mbalimbali vya siasa, maafisa kutoka Tume Huru ya Taifa […]