KAMATI YA RUFAA YA CHAMA CHA ADC YAWAEKA KIKAANGONI,DOYO NA ITUTU WATAKA HAKI ITENDEKE
Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Mwanasheria wa Chama Cha Alliance For Democratic Change (ADC), ambaye pia Mjumbe wa Kamati ya Rufaa wa chama hicho, John Mbogo amesema wamejipanga kufanya mabadiliko madogo katika Katiba na Kanuni zinazohusu mchakato wa uchaguzi ili kuondoa migogoro kutokea baada ya kufanyika chaguzi ndani ya chama hicho. Akizungumza makao […]