KAMATI YA NIDHAMU YA CHAMA TAWALA NCHINI AFRIKA KUSINI ANC IMEAMUA KUMFUKUZA UANACHAMA RAIS WA ZAMANI JACOB ZUMA
Na Anton Kiteteri Chama Cha ANC kimemfukuza uanachama rais wa zamani wa Africa Kusini Jacob Zuma.Uamuzi huo ambao haujatangazwa rasmi, ulichukuliwa baada ya kesi za kinidhamu kuanzishwa mwezi huu dhidi ya kiongozi huyo wa zamani ambaye bado ana umaarufu na ushawishi mkubwa nchini humo. “Mwanachama aliyeshtakiwa amefukuzwa katika chama cha ANC,” umesema waraka uliovuja, ambao […]