MBOWE ATOA KAULI KUNG’ATUKA CHADEMA
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA -DAR ES SALAAM MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe amevunja ukimya kuhusu hatima ya kungโatua kwake ndani ya chama hicho huku akiweka wazi kwamba bado yupo sana na hatastaafu siasa kwa sasa. Kutokana na hali hiyo amesema kuwa amefanyakazi ya kuimarisha upinzani nchini kwa zaidi ya miaka […]