KITAIFA
July 04, 2024
39 views 2 mins 0

JOKATE AWATAKA VIJANA KWA WINGI KAMPENI MAALUM KUWAHAMASISHA WANANCHI KUJIANDIKISHA DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA

Na Mwandishi wetu WAMACHINGA Katibu Mkuu UVCCM (MNEC) Jokate Mwigelo amewataka vijana kujitokeza kwa wingi katika uwanja mkapa (Lupaso)  jijini Dar es Salaam katika uzinduzi wa kampeni maalum ambayo imelenga kuhamasisha wananchi kujiandikisha katika daftari la kudumu la mpiga kura. Wito huo ameutoa jijini Dar es Salaam wakati alipokua akizungumza na waandishi wa habari ambapo […]

KITAIFA
December 01, 2023
251 views 19 secs 0

MUFTI WATANZANIA DKT.ABUBAKARI ZUBERI ALLY AMFANYIA DUA MAALUM MAKONDA

Na Madina Mohammed Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi, Itikadi, Uenezi na Mafunzo ndugu Paul Makonda leo tarehe 1 December 2023 amemtembelea na kumshukuru Mufti wa Tanzania Dkt. Abubakary Zuberi bin Ally kwa kumuombea na kuanae katika nyakati zote alizozi pitia makonda kuendelea kupata Baraka zaidi. Mwenezi Makonda amefanya hivyo ikiwa ni muendelezo […]

KITAIFA
November 29, 2023
184 views 2 mins 0

BREAKING NEWS: CHONGOLO AJIUZULU RASMI

Chama Cha Mapinduzi kimefanya kikao cha kawaida cha Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa tarehe 29 Novemba 2023 Jijini Dar Es Salaam chini ya Mwenyekiti na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Dkt. Samia Suluhu Hassan. Pamoja na mambo mengine, kikao hicho kilijadili hali ya kisiasa ndani ya Chama na nje ya Chama […]

KITAIFA
November 23, 2023
218 views 2 mins 0

MWAKIPOSA: UONGOZI HAUJI KAMA UPEPO UONGOZI NI MAANDALIZI

Chama Cha mapinduzi ccm kimeweza kuwasajili wanachama wake 130 ambao ni wanafunzi wa Chuo Cha st.joseph na st.maria na wamepata kuelewa Itikadi ya Chama cha mapinduzi. Akizungumza na Waandishi wa habari jijini Dar es salaam mwenyekiti wa serikali ya mtaa dovya lazaros mwakiposa amesema kati ya wanafuzi hawa Kuna viongozi ndani Yao wa badae lakini […]

KITAIFA
October 26, 2023
153 views 2 mins 0

GADDAFI:AWAPA KICHENIPARTY VIONGOZI WASIOTAKA VIONGOZI WA NGAZI YA CHINI KUFANYA MIAZARA

Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar es salaam Komredi Abbas Mtemvu amewataka viongozi wa serikali waliopata nyadhifa kuanzia ngazi ya Serikali za Mitaa ,Wilaya hadi Mkoa kushirikiana na Madiwani na Wabunge wa Viti maalumu wanapotaka kufanya ziara katika kata kujua changamoto zinazowakabili na kuzipatia ufumbuzi. Agizo hilo amelitoa leo Jijini Dar es salaam Katika Shughuli […]

KITAIFA
October 21, 2023
245 views 2 mins 0

KATIBU MKUU WA UVCCM TAIFA LULANDALA ATAKIWA KULETA MABADILIKO

MAKAMU Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa Mohamed Kawaida amemtaka Katibu Mkuu wa Umoja huo Fakii Raphael Lulandala kuhakikisha analeta mabadiliko ya kiutendaji. Kawaida ametoa agizo hilo leo Oktoba 20, 2023 jijini Dar es Salaam akizungumza katika hafla ya mapokezi ya Katibu Mkuu huyo mpya aliyeteuliwa hivi karibuni yaliyofanyika jijini […]

KITAIFA
July 25, 2023
455 views 40 secs 0

WANAWAKE BUTA VICOBA WATAKIWA KUTOKUWA NA UBINAFSI

Kikundi Cha Buta Vicoba Endelevu kimezinduliwa rasmi Jana na Mwenezi wa CCM Kata ya Bunju Shabiri Akbal Ismail na kuwataka wanawake hao kuwa pamoja na kushirikiana Kwa kila jambo. Ameyazungumza hayo Jana siku ya Jumatatu 24,2023 Katika ukumbi wa Boko chama CCM na kusema kuwa wakina mama wanatakiwa kutokuwa na mambo ya Siri Katika vikundi […]