SUMAYE AMTEMBELEA WASIRA KATIKA OFISI NDOGO ZA CCM ZILIPO LUMUMBA
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA *Makamu Mwenyekitiย wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) – Bara, Ndg. Stephen Wasiraย akiwa kwenye mazungumzo na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mstaafu, Mhe. Frederick Tluway Sumaye, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, jijini Dar Es Salaam, baada ya kiongozi huyo, ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati […]