CPA MAKALA:”UCHAGUZI UMEISHA VIONGOZI MUUNGANE NA KUCHAPA KAZI KUWALETEA MAENDELEO WANANCHI”
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Chama cha Mapinduzi (CCM) kimewataka Viongozi wa Serikali na Chama tawala kutoa ushirikiano kwa viongozi wa vyama pinzani walioshinda katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, kwani nao wameaminiwa na wananchi. Akizungumza jijini Dar es salaam Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM Taifa, CPA. Amos Makalla amesema uchaguzi umeisha chama […]