KITAIFA
April 30, 2024
295 views 14 secs 0

UCHACHE WA WATU MOSHI: MWENYEKITI CHADEMA KUJIUZULU

Hii ndio hali halisi ya maandamano yaliyogonga mwamba baada ya wananchi wa Moshi kususia wito wa chama cha Demokrasia na Maendeleo, kadhia hii imepelekea aliyekuwa mgeni rasmi Ndugu Freeman Mbowe kutoshuka ndani ya gari kwa hasira akilaumu uongozi wa Mkoa kwa kushindwa kushawishi watu wengi. Chama cha Demokrasia na Maendeleo kinapitia wakati mgumu katika mikutano […]

KITAIFA
April 08, 2024
261 views 2 mins 0

ACT WAZALENDO WANENA,GUMZO KITENGO CHA MAAFA.RUFIJI

Na mwandishi wetu IMEBAINISHWA kuwa kuwepo kwa matukio ya majanga kwa miaka mingi ya hivi karibuni imeonesha uwezo mdogo wa kukabiliana na majanga pamoja na kuchukua tahadhari za majanga mbalimbali ikiwemo ajali na moto kutoka kitengo cha maafa kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, Waziri Mkuu Kivuli […]

KITAIFA
March 09, 2024
280 views 2 mins 0

ACT WAZALENDO WATISHIA KUJIONDOA KWENYE SERIKALI YA UMOJA WA KITAIFA ZANZIBAR

DAR ES SALAAM Chama cha ACT Wazalendo kimesema kitajiondoa kwenye Serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar kutokana na kutotekelezewa kwa makubaliano waliyoyaingia na serikali kabla ya kukubali kushiriki kwenye serikali hiyo. ACT wanadai kuwa hoja zao tatu ikiwemo fidia kwa waliopata madhara katika uchaguzi 2020, kuundwa Tume ya Kijaji kuchunguza uvunjifu wa haki za binadamu […]

KITAIFA
March 05, 2024
316 views 2 mins 0

MDAHALO WA ACT WAZALENDO WAFANA VIONGOZI KUNADI SERA ZAO

Na mwandishi wetu Katika kuelekea chaguzi za juu za Chama Cha ACT Wazalendo wagombea wa nafasi hizo wameshiriki kwenye mdahalo wa kunadi sera zao ulioandaliwa na chama hicho ukihusisha mgombea nafasi ya Mwenyekiti Othman Masoud Othman na nafasi ya Kiongozi wa Chama wagombea ni Dorothy Semu na Mbarara Maharagande. Akizungumza katika mdahalo huo baada ya […]

KITAIFA
March 04, 2024
230 views 3 mins 0

JUMA DUNI AJITOA KUGOMBEA NAFASI YA UWENYEKITI ACT WAZALENDO

TAARIFA KWA UMMA Halmashauri Kuu ya Chama Taifa iliyokutana kwenye Ukumbi wa Hakainde Hichilema uliopo kwenye Jengo la Maalim Seif (Makao Makuu ya Chama cha ACT Wazalendo) leo tarehe 4 Machi 2024 imeridhia uamuzi wa Ndugu Juma Duni Haji kujitoa kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa Chama Taifa wa ACT Wazalendo. Kwenye hotuba yake kwa Halmashauri […]

KITAIFA
March 02, 2024
498 views 4 mins 0

DKT ANANILEA NKYA AWAPONGEZA ACT WAZALENDO KULIPA UZITO USAWA LA KIJINSIA

Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM Mwenyekiti wa Jukwaa la katiba JUKATA Ambaye pia ni mwanaharakati wa maswala ya kijinsia Dkt Ananilea Nkya amekipongeza Chama cha ACT-Wazalendo kwa kulipa uzito swala la kijinsia na kuamua kutengeneza sera ya jinsia ya chama 2024. Sera hiyo inalenga kuimarisha usawa wa kijinsia ndani ya chama na kwenye ngazi […]

KITAIFA
March 02, 2024
231 views 2 mins 0

LWAITAMA WAZEE KUISHIMIWA WAPEWE FURSA KATIKA CHAMA

MHADHIRI Mstaafu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) na Mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Dkt. Azaveli Lwaitama amesema kazi ya Wazee wa Chama cha ACT Wazalendo ni kuwa washauri wa chama hususan kwa vijana ili kuwa katika njia sahihi ya ujenzi wa umoja kwa maslahi ya Taifa. Dkt. Lwaitama amesema […]