KITAIFA
March 04, 2025
38 views 2 mins 0

GSM FOUNDATION ,DAR YOUNG AFRICAN SPORTS CLUB NA CCBRT WAUNGANA KUTOA MATIBABU KWA WATOTO WENYE MIGUU KIFUNDO NCHINI TANZANIA

Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM GSM Foundation na Hospital ya CCBRT leo wamesaini makubaliano ya ushirikiano ambapo GSM Foundation inaongoza kampeni ya kuchangisha kiasi cha milioni 588,734 ,880 za kitanzania kwaajili ya matibabu ya watoto 400 waliozaliwa na tatizo la miguu kifundo (clubfoot) ambapo wanapokea matibabu katika Hospitali ya CCBRT jijini Dar es Salaam […]