DKT. BITEKO ATAKA MITAALA VYUONI IENDANE NA MABADILIKO YA TEKNOLOJIA
๐Azindua dira ya miaka 50 ya CBE (2025 – 2075) ๐Asisitiza matumizi ya teknolojia za kisasa, zinazojibu changamoto za jamii ๐Taasisi za elimu ya juu zatakiwa kuweka mkazo mafunzo ya ujasiriamali Vyuo na taasisi zinazotoa elimu ngazi ya Kati ikiwemo Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE), zimetakiwa kuboresha mitaala yake ya masomo ili iendane na […]