KITAIFA
February 06, 2025
15 views 27 secs 0

BWAWA LA KIDUNDA: SULUHISHO LA KUDUMU UPATIKANAJI WA MAJI DSM

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kupitia Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA), imethibitisha kuwa ujenzi wa Bwawa la Kidunda mkoani Morogoro umefikia hatua ya asilimia 27, huku mradi ukitarajiwa kukamilika ifikapo mwaka 2026 kwa gharama ya shilingi bilioni 336. Bwawa hili linajengwa kwenye mkondo wa Mto Ruvu na […]