KITAIFA
August 29, 2023
265 views 37 secs 0

MHE. KATAMBI: TUNAENDELEA KUTOA ELIMU YA KANUNI ZA MAFAO

SERIKALI imeendelea kutoa elimu ya kanuni mpya ya mafao ya pensheni (kikokotoo) na hadi Juni 30, mwaka huu wanachama wa mifuko ya pensheni 131,497 na waajiri 5,580 wamefikiwa na elimu hiyo. Aidha, Elimu hiyo imetolewa na Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) kwa […]

KITAIFA
July 12, 2023
294 views 3 mins 0

JERRY SILAA:AWASHANGAA WANASHERIA WANAOPOTOSHA TAFSRI YA VIPENGELE VYA MKATABA

Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya bunge ya uwekezaji wa mitaji ya Umma (PIC) ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la ukonga Jerry Silaa amesema nchi yetu inakatiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambayo inayotoa mamlaka Kwa kila aliepewa mamlaka na katiba,katiba hiyo imeazimishwa na mamlaka lakini vile vile mamlaka hayo wakitumia Demokrasia Kwa […]

KITAIFA
June 19, 2023
355 views 31 secs 0

SERIKALI KUWATHAMINI WATU WENYE ULEMAVU

Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Patrobas Katambi amesema kuwa Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wa Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imeendelea kuwajali na kuwathamini Watu wenye Ulemavu kwa kuhakikisha inakuza ustawi wa kundi hilo. Akizungumza Katika viwanja vya Bungeni jijini dodoma Naibu […]

KITAIFA
June 15, 2023
245 views 2 mins 0

WAZIRI SIMBACHAWENE AITAKA TAKUKURU ISIJIFUNGIE OFISINI, IENDE KWA JAMII

Waziri wa Nchi,ย Ofisi ya Rais, Menejimenti Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene amewataka Watumishi waย Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwaย (TAKUKURU) kutoka ofisini na kwenda sehemu ambako huduma za kijamii zinatolewa kwa kuwa huko kuna malalamiko mengi ya wananchi kuhusu kutoondewa haki katika kupata huduma. Akizungumza katika kikao hicho kilichofanyika jijini Dodoma […]

KITAIFA
June 15, 2023
292 views 2 mins 0

Mfumuko wa Bei ulivyoathiri Nchini

Mfumuko wa bei nchini umeendelea kuwa ndani ya lengo la wigo wa kuwa chini ya asilimia 5. Mwaka 2022, mfumuko wa bei ulifikia wastani wa asilimia 4.3 ikilinganishwa na wastani wa asilimia 3 Aidha mfumuko wa bei kwa mwaka unaoishia mwezi Mei, 2023 umebaki kama ilivyokuwa kwa mwaka unaoishia mwezi Mei, 2022 ikiwa ni wastani […]

KITAIFA
June 15, 2023
120 views 2 mins 0

Nchemba kunufaisha maendeleo ya jamii katika Bajeti

Waziri wa fedha na mpango Dkt Mwiguru Lameck Nchemba Leo amewasilisha Utekelezaji wa Bajeti ya Maendeleo ya Mwaka 2022/23 Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Mwaka 2022/23 ambao uliotengewa jumla ya shilingi bilioni 15,006.0, sawa na asilimia 36.2 ya Bajeti ya Serikali ambapo shilingi bilioni 12,306.9, sawa na asilimia 82.0 ya bajeti ya fedha za […]

KITAIFA
June 15, 2023
277 views 2 mins 0

Waziri Nchemba Akiwasilisha Taarifa ya hali ya uchumi na mpango wa maendeleo wa taifa 2023/2024

Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa,akiteta jambo na waziri wa Fedha na Mipango,Mhe.Dkt.Mwigulu Lameck Nchemba baada ya kuwasilishwa kwa taarifa ya hali ya uchumi kwa mwaka 2022 na mpango wa maendeleo wa taifa wa mwaka2023/2024 Bungeni jijini Dodoma. Waziri wa Fedha na Mipango,Mhe.Dkt.Mwiguru Lameck Nchemba.Akiwasilisha Taarifa Ya Hali Ya Uchumi Kwa Mwaka 2022 na mpango wa maendeleo […]

KITAIFA
May 30, 2023
121 views 54 secs 0

MAJADILIANO YA KINA: WAZIRI MKUU BUNGENI

Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa, alishiriki vikao vya Bunge jijini Dodoma na kufanya mazungumzo na mawaziri kadhaa. Miongoni mwa mazungumzo hayo, Waziri Mkuu alikutana na Waziri wa Mambo ya Nje ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Stagomena Tax, ambaye ametoa hotuba na bajeti ya Wizara yake kwa mwaka wa fedha 2023/2024. Waziri Mkuu pia alikutana […]