RUTO ASALIMU AMRI-AONDOA MSWADA WA FEDHA ULIOZUA MAANDAMANO MABAYA
Rais William Ruto amesema hatotia saini Mswada wa Fedha wa 2024 kuwa sheria . Katika kikao na waandishi wa habari siku moja baada ya maandamano makubwa kushuhudiwa nchini kupinga mswada huo ,Ruto pia ametangaza hatua mbalimbali za kupunguza mgao wa fedha za matumizi katika Ofisi ya Rais na idara nyingine za serikali ikiwemo bunge . […]