TANESCO, EWURA IMEWEKA MWONGOZO WA GHARAMA ZA KUUNGANISHA UMEME- KAPINGA
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA *๐ Asema Serikali imeweka ruzuku kwenye miradi ya umeme Vijijini.* Naibu Waziri wa Nishati, Mhe Judith Kapinga amesema,Serikali kupitia Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) na Mamlaka ya Udhibiti Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imeweka mwongozo wa gharama za kuunganisha umeme kwa wateja, ambapo gharama hizo hutofautiana kulingana na hali ya […]