KITAIFA
June 15, 2023
203 views 2 mins 0

WAZIRI SIMBACHAWENE AITAKA TAKUKURU ISIJIFUNGIE OFISINI, IENDE KWA JAMII

Waziri wa Nchi,ย Ofisi ya Rais, Menejimenti Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene amewataka Watumishi waย Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwaย (TAKUKURU) kutoka ofisini na kwenda sehemu ambako huduma za kijamii zinatolewa kwa kuwa huko kuna malalamiko mengi ya wananchi kuhusu kutoondewa haki katika kupata huduma. Akizungumza katika kikao hicho kilichofanyika jijini Dodoma […]

KITAIFA
June 15, 2023
201 views 2 mins 0

Mfumuko wa Bei ulivyoathiri Nchini

Mfumuko wa bei nchini umeendelea kuwa ndani ya lengo la wigo wa kuwa chini ya asilimia 5. Mwaka 2022, mfumuko wa bei ulifikia wastani wa asilimia 4.3 ikilinganishwa na wastani wa asilimia 3 Aidha mfumuko wa bei kwa mwaka unaoishia mwezi Mei, 2023 umebaki kama ilivyokuwa kwa mwaka unaoishia mwezi Mei, 2022 ikiwa ni wastani […]

KITAIFA
June 15, 2023
61 views 2 mins 0

Nchemba kunufaisha maendeleo ya jamii katika Bajeti

Waziri wa fedha na mpango Dkt Mwiguru Lameck Nchemba Leo amewasilisha Utekelezaji wa Bajeti ya Maendeleo ya Mwaka 2022/23 Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Mwaka 2022/23 ambao uliotengewa jumla ya shilingi bilioni 15,006.0, sawa na asilimia 36.2 ya Bajeti ya Serikali ambapo shilingi bilioni 12,306.9, sawa na asilimia 82.0 ya bajeti ya fedha za […]

KITAIFA
June 15, 2023
192 views 2 mins 0

Waziri Nchemba Akiwasilisha Taarifa ya hali ya uchumi na mpango wa maendeleo wa taifa 2023/2024

Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa,akiteta jambo na waziri wa Fedha na Mipango,Mhe.Dkt.Mwigulu Lameck Nchemba baada ya kuwasilishwa kwa taarifa ya hali ya uchumi kwa mwaka 2022 na mpango wa maendeleo wa taifa wa mwaka2023/2024 Bungeni jijini Dodoma. Waziri wa Fedha na Mipango,Mhe.Dkt.Mwiguru Lameck Nchemba.Akiwasilisha Taarifa Ya Hali Ya Uchumi Kwa Mwaka 2022 na mpango wa maendeleo […]

KIMATAIFA
June 15, 2023
154 views 43 secs 0

Boti iliyozama ugiriki ilikuwa na watoto 100

Manusurika wa boti ya wavuvi iliyozama kusini mwa ugiriki katika mojawapo ya maafa mabaya zaidi ya wahamiaji barani ulaya wanasema karibu watoto 100 huenda walikuwa ndani ya boti hiyo Takribani watu 78 tayari wamethibitishwa kufariki katika maafa hayo Lakini wengine zaidi Bado wamepotelea baharini,huku ripoti zikisema kuwa Hadi watu 750 walikuwa ndani ya boti hiyo […]

KITAIFA
May 12, 2023
171 views 46 secs 0

WAZIRI BASHUNGWA: SERIKALI INAENDELEA KUBORESHA MIUNDOMBINU YA VIKOSI VYA JESHI

Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Innocent Bashungwa (Mb) amesema Wizara inaendelea kutenga fedha kwa ajili ya ujenzi na kuboresha miundombinu mbalimbali kwenye vikosi vya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania ikiwemo ukarabati wa makambi na nyumba za makazi kwa maafisa na askari. Bashungwa amesema hayo leo tarehe 12 Mei 2023 wakati […]