BRT,FLY OVERS NA BARABARA KUPUNGUZA MSONGAMANO WA MAGARI KATIKA MIJINA MAJIJI YATATEKELEZWA
DODOMA Waziri wa Ujenzi Innocent Bashungwa amesema, Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan inaendelea na miradi mbalimbali ya kupunguza msongamano wa magari katika Miji na Majiji kwa kujenga barabara za juu (Fly Overs) kwenye Makutano ya barabara, Ujenzi wa Miundombinu ya Mabasi yaendayo haraka (BRT). Bashungwa ameeleza hayo jijini […]