WANANCHI WAJITOKEZE BRELA KUSAJILI MAJINA YA BIASHARA NA MAKAMPUNI
Wito umetolewa kwa wananchi hususani wakulima pamoja na wafanyabishara katika Mkoa wa Mbeya kuendelea kujitokeza kwa wingi kwenye banda la Brela katika maonesho ya kimataifa ya Kilimo Nane nane 2023 ili kusajili biashara zao pamoja na makampuni. Mkuu wa kitengo cha uhusiano BRELA Roida Andusamile amesema hayo alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari kwenye banda […]