KITAIFA
November 04, 2024
101 views 5 mins 0

WIPO,ARIPO,UDSM,NA BRELA WAKUTANA KUTOA MAFUNZO KWA WADAU MBALIMBALI ILI KULETA CHACHU YA MAENDELEO

Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA WAKALA wa Usajili wa Leseni za Biashara (BRELA), Shirika la Miliki Ubunifu โ€˜Duniani World Interllectual Property Organizationโ€™ (WIPO), Shirika la Miliki Buinfu Kanda ya Afrika (ARIPO)naย  Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam (UDSM) wanatoa mafunzo kwa wakufunzi watakaokuwa na jukumu la kufundisha wadau mbalimbali kuhusu umuhimu na faida […]

KITAIFA
June 26, 2023
278 views 2 mins 0

BRELA YATEKELEZA WAJIBU WAKE KWA JAMII

 Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA), leo tarehe 24, Juni 2023 imetekeleza wajibu wake kwa jamii kwa kufanya usafi katika Soko la Buguruni, Ilala jijini Dar es Salaam. Katika kutekeleza zoezi hilo BRELA imetoa vifaa mbalimbali vya usafi na kuungana na wafanyabiashara wa soko hilo kufanya usafi. Akitoa salam za Afisa Mtendaji Mkuu […]