BONANZA LA WIZARA YA NISHATI LAPAMBA MOTO DODOMA
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Leo tarehe 27 Julai 2024, Watumishi wa Wizara ya Nishati na Taasisi zilizo chini yake wameshiriki katika michezo mbalimbaliย katika Bonanza la Nishati Jijini Dodoma likibebwa na Kaulimbiu Shiriki Michezo Imarisha Afya. Mgeni rasmi katika Bonanza hilo ni Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko ambaye ameambatana […]