BUNGE LAIPONGEZA WIZARA YA MALIASILI KUVUMBUA BOMU LA KUFUKUZA TEMBO DORIA ZAANZA WILAYA 24
Na Madina Mohammed WAMACHINGA Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limeipongeza Wizara ya Maliasili na Utaliiย kwa ubunifuย waย kuvumbua bomu baridi lililoboreshwa kwa ajili ya kupambana wanyama hatari kama Tembo kwa kushirikiana naย Shirika la Mzinga. Kauli hiyo imetolewa na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii, Mhe. […]