KAMPUNI YA MZURI NA AGRAMI YALETA MASHINE INAYOTUMIKA KURAHISISHA SHUGHULI ZA KILIMO
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Kampuni ya Mzuri Afrika na Grami Afrika imeleta mashine ambayo inatumika katika kurahisisha shughuli za kilimo cha mazao ya nafaka,na kumsaidia mkulima kupata mazao mengi wakati wa mavuno. Mashine hiyo imetengenezwa nchini Poland kutoka Kampuni mama ya Mzuri World inayotengeneza teknolojia za kisasa za kilimo,ambapo Mashine iliyoingizwa nchini Tanzania inauwezo mkubwa […]