KITAIFA
October 15, 2023
242 views 2 mins 0

BODI YA WAKURUGENZI YA TFRA YAPOKEA MAONI YA WADAU KATAVI

Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania (TFRA) wakiongozwa na Mwenyekiti wa bodi hiyo, Dkt. Anthony Diallo wameanza ziara ya kikazi mkoani Katavi. Akieleza kwa nyakati tofauti lengo la ziara hiyo iliyoanza tarehe 14 Oktoba, 2023, Dkt. Diallo amesema, imelenga katika kujifunza namna tasnia ya mbolea inavyosimamiwa, kusikiliza na kutafutia […]