KITAIFA
December 13, 2023
247 views 2 mins 0

WAZIRI KAIRUKI:TUNATAKA TTB ISONGE MBELE KATIKA UTANGAZAJI UTALII

Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) ameitaka Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) kujipambanua ili kuhakikisha inatekeleza majukumu yake ipasavyo na kukua katika utangazaji utalii. Ameyasema hayo leo Desemba 13,2023 jijini Dar es Salaam alipofanya ziara ya kikazi katika Makao Makuu ya Bodi ya Utalii Tanzania. โ€œTunatamani tuache alama , nataka shirika hili […]

KITAIFA
December 12, 2023
212 views 3 mins 0

WAHITIMU NCT WATAKIWA KULETA MAGEUZI KWA WATALII

Wahitimu wa Chuo cha Taifa cha Utalii (NCT) wametakiwa kuleta mageuzi katika utoaji huduma bora kwa watalii na wageni wanaotembelea nchini ili kuitangaza vyema Tanzania na kuongeza idadi ya watalii wanaokuja nchini. Hayo yamesemwa leo Desemba 12, 2023 na Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) kwenye mahafali ya 21 ya Chuo cha […]

KITAIFA
November 29, 2023
313 views 3 mins 0

CP WAKULYAMBA ARIDHISHWA NA UTENDAJI WA TAWA,AIPONGEZA NA KUHIMIZA KULINDA MALIASILI ZA NCHI KWA UDI NA UVUMBA

Na Beatus Maganja Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii Kamishna Benedict Wakulyamba ameeleza kuridhishwa kwake na Kasi ya utendaji mzuri wa Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania – TAWA katika kulinda rasilimali za nchi bila kujali vipingamizi vinavyo jitokeza katika utekelezaji wa majukumu hayo ya kitaifa Ameyasema hayo wakati wa ziara yake […]

KITAIFA
November 26, 2023
229 views 3 mins 0

TAWA YAJIPANGA KUINGIZIA SERIKALI MAPATO MAKUBWA KUPITIA MAKUYUNI WILDLIFE PARK

Na Beatus Maganja Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya TAWA Dr Simon Mduma amesema mpango mkatati wa kibiashara wa kuendeleza shughuli za utalii eneo la Makuyuni Wildlife Park uliondaliwa na Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania – TAWA unatarajiwa kuiingizia Serikali mapato makubwa ikiwa ni pamoja na kunufaisha jamii zinazozunguka eneo hilo Dr Mduma […]

KITAIFA
October 25, 2023
333 views 3 mins 0

TAWA YAFADHILI MRADI WA UJENZI WA MADARASA KALIUA WANAFUNZI WAELEZA HISIA ZAO

SERIKALI kupitia Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) imefadhili mradi wa ujenzi wa vyumba vya madarasa mawili, ofisi moja ya walimu na jumla ya madawati 30 katika shule ya msingi Usinge iliyopo wilaya ya kaliua Mkoani Tabora Mradi huu ambao tayari umekwishakamilika na kuanza kutumika umegharimu kiasi cha Tsh. Millioni 50 (50,000,000/=) ambazo ni […]

KITAIFA
October 12, 2023
319 views 52 secs 0

WAZIRI KAIRUKI AKAGUA JENGO LA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII

Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki ( Mb) amekagua jengo la ofisi ya Wizara ya Maliasili na Utalii lililojengwa kwenye mji wa Serikali Mtumba jijini Dodoma. Katika ukaguzi huo aliambatana na Naibu wake Mhe. Dunstan Kitandula na Katibu Mkuu, Dkt. Hassan Abbasi amesema kwamba jengo hilo kwa sasa limekamilika kwa asilimia 99.9 na […]