NI KILWA TENA, MELI ZILIZOSHEHENI WATALII ZAPISHANA KUTIA NANGA
Na Beatus Maganja Wahenga walisema isiyo kongwe haivushi, lakini leo Kilwa imetuvusha. Hayawi hayawi yamekuwa, leo Tanzania inathibitisha yale yaliyosemwa na wahenga miongo kadhaa pale mji wa kihistoria wenye historia ya kipevu mji wa Kilwa Mkoani Lindi unaposhuhudia mpishano wa meli kubwa za kifahari za Kitalii zilizosheheni watalii kutoka pembe za dunia zikishusha mamia ya […]