MIAKA MINNE YA RAIS SAMIA KWA UFANISI MKUBWA WA ONGEZEKO LA MIKOPO KWA WANAFUNZI
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Ongezeko la fedha za kujikimu Kwa siku kutoka Tzs 8500/= Hadi Tzs 10000/= Makusanyo ya mkopo iliyoiva (Machi 2021-Februariย 2025) Tzs 650.25 Bilioni Kuanzishwa Kwa Samia Scholarship 2022/2023 imenufaisha wanafunzi 3,696 Kuanzishwa Kwa mikopo ya stashahada 2023/2024 imenufaisha wanafunzi 9.959