WIZARA YA MALIASILI YAVUNJA REKODI,JENGO LA OFISI MTUMBA LAKABIDHIWA
Wizara ya Maliasili na Utalii imevunja rekodi kwa kukamilisha ujenzi Jengo jipya la Ofisi lililopo kwenye Mji wa Serikali Mtumba Jijini Dodoma, na kuruhusu sasa Jengo hilo kutumika rasmi. Akipokea Jengo hilo, Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii Dkt. Hassan Abbasi amesema kukamilika vyema na kwa wakati kwa Jengo hilo, ni matokeo chanya ya […]