KITAIFA
November 09, 2023
302 views 2 mins 0

HALI YA UPATIKANAJI WA UMEME YAIMARIKA

Sasa upungufu wa umeme wabakia 218 MW kutoka 421 MW. Hali ya upatikani umeme nchini imeimarika na sasa upungufu wa umeme umebakia 218 MW. Hayo yameelezwa na Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga, tarehe 9 Novemba, 2023 Jijini Dodoma wakati akijibu maswali ya Wabunge waliotaka kufahamu mpango wa Serikali katika kumaliza changamoto za umeme […]

KITAIFA
October 12, 2023
276 views 2 mins 0

CP WAKULYAMBA:TUNZENI MIRADI YA REGROW

Wakazi Wilayani Lujewa Mkoani Mbeya wametakiwa kuitunza Miradi ya Umwagiliaji inayotekelezwa kupitia Mradi wa Usimamizi wa Maliasili na ukuzaji wa Utalii Nyanda za juu Kusini (REGROW) kwemye eneo la Madibira na Mbarali kwa kuwa miradi hiyo ni kwa ajili ya wananchi wenyewe. Wito huo umetolewa na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii Kamishna […]

BURUDANI
October 06, 2023
204 views 6 mins 0

MHE.KAIRUKI ATAJA MAFANIKIO LUKUKI YA RAIS SAMIA KWENYE SEKTA YA UTALII

Serikali imesema inakusudia kukuza utalii wa fukwe, mikutano pamoja na utalii wa kuvinjali kwa meli ikiwa ni mkakati wa kuongeza mazao mapya ya utalii nchini kwa ushirikiano baina ya Tanzania bara na visiwani. Akisoma hotuba kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan kwenye ufunguzi rasmi wa Maonesho ya […]

BURUDANI, KITAIFA
August 11, 2023
320 views 2 mins 0

BODI YA FILAMU KUANDAA TENA TUZO ZA FILAMU

Bodi ya filamu imefungua dirisha la kupokea filamu Kwa ajili ya tamasha la Tuzo za filamu 2023 Tanzania ikiwa Moja wapo ya tamasha hilo ambalo linalokuza filamu za kitanzania na kuzidi kuleta chachu ya kuendeleza vipaji vya Sanaa Tuzo hizo zimekuwa msimamo wa mbele ambazo ndizo zinazoweza kukutambulisha kazi yako unayoifanya ya kutunga au kucheza […]