BLUE COAST YAJIPAMBANUA JUU YA UWEKEZAJI KWENYE SEKTA YA MADINI
WAZIRI wa Madini Antony Mavunde amesema serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais DKT. Samia Suluhu Hassan itaendelea kusimamia sheria ya Local contect ili kuhakikisha watanzania wananufaika na rasilimali zao ikiwemo madini ya dhahabu . Mavunde ameyasema hayo alipotembelea mmoja wa wawekezaji wa wazawa mkoani Geita Athanas Inyasi anaemiliki kampuni ya blue coast ili […]