MICHEZO
June 15, 2023
661 views 2 mins 0

YANGA SIYO MABINGWA MARA 29/ ACHENI KUPOTOSHA

Vita ya soka haijawahi kuisha nchini kuanzia ndani uwanja mpaka mtaani kwa mashabiki. Maafisa Habari nao hawajawahi kupoa, ‘Ukiufumba na Kufumbua’ unakutana na taarifa kedekede zilizojawa kejeli, majigambo, utani kiasi kuhusu vilabu vyao vyenye mamilioni ya mashabiki nchini. Thabith Zakaria maarufu kama Zaka za Kazi ambaye ni Mkuu wa Idara ya Habari na mawasiliano Azam […]