TADB YATOA GAWIO LA KIHISTORIA LA SHILINGI BILIONI 5.58 KWA SERIKALI
Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) imetangaza gawio la kihistoria la shilingi bilioni 5.58 kwa Serikali ya Tanzania kutoka shilingi milioni 850 zilizotolewa mwaka 2023. Taarifa hiyo imetolewa katika Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Wanahisa kwa mwaka wa fedha ulioishia Desemba 31, 2024, uliofanyika makao makuu ya […]